Jeremiah 51:53

53 aHata kama Babeli ikifika angani
na kuziimarisha ngome zake ndefu,
nitatuma waharabu dhidi yake,”
asema Bwana.
Copyright information for SwhNEN